Mlanyasi : hallooooo gwiji wa lugha hujambo?
Gwiji : sijambo sana
Mlanyasi : ninaitwa Simiyu kutoka chuo kikuu cha Moi
Gwiji : naam
Mlanyasi : mkubwa naomba usaidizi wako…………….
Gwiji : (kimya)
Mlanyasi : hallloooo
Gwiji : sema ndugu,nikusaidie vipi!
Mlanyasi : mimi ni mwindaji wa kuchakulo katika kichaka hiki cha Andika na naomba unipe mwelekeo
Gwiji : mwelekeo upi sasa?
Mlanyasi : kuhusu mchakato mzima uwindaji….
Gwiji : umepiga hatu gani mpaka sasa
Mlanyasi : kuchakulo mwenyewe nimemteka na kumwua.ninachotaka ni mwelekeo kuhusu mahali nitakapopeleka ili mzoga huu ukihiliwe,upikwe na kuwagawia wasomaji mkubwa
Gwiji : (kimya)
Mlanyasi : hallooooooooo
Gwiji : sasa kijana,ushauri wangu ni huu…..mimi ni mwindaji wa Nyati. Kuchakulo…….tafuta wanaowawinda kijana mdogo
Mlanyasi : lakini nilikuchagua kwa kuwa ninajua ulianzia huko…
Gwiji : hapana tafuta anayeogelea kwenye bahari hiyo…mimi sitakusaidia,isistoshe nina kazi nyingi sana.
Mlanyasi : basi ninakuomba unisadie rakamu ya mwindakuchakulo ili angalau nizungumze naye
Gwiji : tafuta kijana,mtu husaidiwa baada ya juhudi zake kugonga ukuta
Mlanyasi : asante mkubwa, nitakujuza kwa hatua yoyote nitakayopiga
Gwiji : (kimya)
Mlamyasi : (akijizungumzia) yaani hata ushauri tu na pia mwelekeo ni vigumu kunipa……magwiji hawa,siku watakayojua kuwa mchuzi ni maji……watasaidia walanyasi kama sisi ili mustakabali wa michuzi uwe hai……..
SEHEMU YA KWANZA

No comments:
Post a Comment