Ni Mzaliwa wa zaidi ya miaka ishirini iliyopita,
MASOMO
Mwalo Remson Wayne alianzia masomo yake ya Sekondari katika shule ya upili ya Wamalwa kijana ambako alisomea kidato cha kwanza na cha pili kabla ya kuhamia shule ya upili ya Namwela, zote zikiwa katika kaunti ya Bungoma. Baada ya kumaliza masomo yake ya sekondari na kufuzu kujiunga na Chuo kikuu cha Umma, Remmy alichaguliwa na JAB ili kujiunga na Chuo Kikuu cha Egerton bewa la Njoro ili kufanya shahada ya Kilimo-uchumi(Agricultural Economics) ambapo alitakiwa kujiunga nacho septemba 6 ya mwaka wa 2013. Lakini kwa hiari ya kutaka kufanya kozi inayohusu saikolojia ya mwanadamu, Mwalo Remson alijaribu kubadilisha kozi hiyo ila hakufua dafu na kushauriwa ahairishe usajili wake Chuoni humo hadi mwaka mpya ili apewe nafasi ya kuchagua Kozi tofauti na ile aliyopewa. Akaamua hivyo.
Lakini kwa kuwa raka la jamvi ni kanda, bwana huyu alipata mwao kuwa, chuo kikuu cha Moi bewa kuu kilikuwa kinafanya usajili wake oktoba ishirini na nane, hapo akaamua kutuma barua ya maombi na kupata nafasi ya kujiunga na mibabe wa elimu humu chuoni. Akasajiliwa katika kitivo cha Sanaa na Sayansi za Kijamii kozi, ikiwa ni shahada ya sayansi katika saikolojia ya ushauri (Bancelors of Science psychology in Councelling). Hapo, pumu zikapata mkohozi.
HUDUMA
Katika shule ya Upili ya Wamalwa kijana kule kanduyi, Remmy alianza kukalia kigoda cha uongozi kama kiranja wa darasa katika kidato cha kwanza na cha pili. Katika shule ya Upili ya Namwela, alichaguliwa kuwa kiranja wa bwenini hadi mwaka wa 2012 alipomaliza masomo yake ya sekondari.
Baada ya kujiunga na chuo kikuu cha Moi, bwana Mwalo Remson Wayne alichaguliwa kuwa mwakilishi wa wanafunzi katika kozi za jumla ambazo ni SAS, BAS na SOC akiwa katika mwaka wake wa kwanza. Pia katika mwaka huo, alihudumu katika wadhifa wa msaidizi wa mratibu wa CIPA. (Cornsotium of International and professional Association).
Katika mwaka wa pili, alikuwa mwakilishi wa kozi zote za jumla kabla ya kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa MUSSAS. kilele cha haya yote kilikuwa ni kuchaguliwa kuwa msemaji wa makomredi wote katika wadhifa wa Katibu Mkuu wa MUSO alipopata zaidi ya kura elfu mbili.
REKODI ZAKE.
Remmy ni mwanafunzi wa kwanza ambaye alihudumu katika nyadhifa nyingi zaidi kuanzia uwakilishi wa Kozi hadi ukatibu mkuu wa MUSO (5). *licha ya kuitwa katika chuo kikuu cha Egerton, Remmy alijiunga na Chuo kikuu cha Moi kama mwanafunzi binafsi (PSSP) na kuchaguliwa kama katibu mkuu wa MUSSAS na MUSO. *Remmy ni mwanafunzi aliyechaguliwa katika nyadhifa mbili kuu Chuoni mara mbili kwa Usanjari : katibu mkuu wa MUSSAS na MUSO. *Remmy ni mkurugenzi wa pekee ambaye Ofisi yake ina bendera ya Kenya. *uamuzi wa kuhama kutoka shule ya Upili ya Wamalwa kijana hadi Shule ya Upili ya Namwela na ule wa kutoka Chuo kikuu cha Egerton hadi chuo kikuu cha Moi, aliufanya yeye mwenyewe ambapo wazazi wake waliyajua baadaye baada ya kutendeka. Hili linaonyesha jinsi yeye ana uwezo wa kujifanyia maamuzi bila kuegemea usaidizi au kelele za wapita njia.
JE WAJUA?
Je, wajua kuwa Mwalo Remmy aliburura mkia kwa kura tatu pekee alipowania wadhifa wa PROJECTS COORDINATOR katika chama cha MUBSA(Moi University Bungoma Students Association) ? Mshindi alikuwa ni Calistus Wanjala. Ama kweli, kila tunda na mti wake . Namtakia heri katika uongozi wake. MWALO REMSON WAYNE. WASILIANA NAYE KWA BARUA PEPE mwaloremson@gmail.com au Nambari ya Simu 0705849224...

Ahsante kwa ufafanuzi huo. Ama kweli jitihada yoyote ile ina matokeo mema na ya kudumu
ReplyDelete